Blockchain ni nzuri kwa nini

Blockchain ni nzuri kwa nini? Inakupa udhibiti wa pesa yako ili uweze kuokoa na kulipa vitu kwa usalama - bila Serikali au mabenki.

Fedha yoyote ya taifa unayoweza kuwa nayo inaweza kuchukuliwa kutoka kwako. Watoaji wa malipo ya mtandaoni wanaweza kufungia akaunti zako. Lakini Blockchain ina maana una pesa fulani ya kidijitali ambayo hakuna serikali, benki, simu au kampuni nyingine inayoweza kugusa.
Fedha hii ya kidijitali, sarafu ya kidijitali, ni kwa kila mtu, popote unapoishi, au ID gani unayo. Unahitaji tu smartphone.

Je, unatumiaje sarafu ya kidijitali? Katika jumuiya ya Humaniq, unaweza kufanya biashara kwa urahisi na watu wengine. Unaweza kuona nani anayeaminiwa, na kufanya biashara nao moja kwa moja - bila mtu wa kati.

Unatuma tu na kupata sarafu za HMQ na App ya Humaniq. Huna haja ya biashara kubwa au bei kubwa.
Zaidi watu wengi wanavyokua na sarafu ya kidijitali, zaidi na zaidi inakuwa inahitajika. Jumuiya ya Humaniq inakua na kufikia watumiaji milioni moja wa HMQ mwaka huu. Na utapata thawabu kwa kuwakaribisha marafiki na familia yako kujiunga!

Kwa nini? Kwa sababu Blockchain na sarafu za kidijitali kama HMQ inamaanisha uchumi mpya, na fursa zaidi kwako.

Karibisha marafiki na upate thawabu!