Njia salama ya kuhifadhi pesa yako

Maisha hutokea. Wakati mwingine ni hatari sana kutembea na fedha katika mfuko wako. Hasa wakati una kiasi kikubwa. Kwa hiyo ni dhahiri kuwa ni salama kutumia miamala ya kielektroniki kwa malipo fulani au tu kwa kuhifadhi. Kwa kawaida tunatumia kompyuta au simu ili kufikia akaunti zetu za benki. Lakini ni nini ikiwa hatutumii benki na kutumia Humaniq badala yake?

Kwa programu(App) ya Humaniq, unaweza kuifikia pesa yako daima. Hata bila ya simu unatumia Programu ya kwanza!

Basi nini kama simu yako imepotea, au una simu mpya? Awali ya yote, ikiwa mtu ameipata simu yako, yeye hawezi kutumia pesa yako, kwa sababu hatakuwa na uwezo wa kuingia kwenye mkoba wako wa Humaniq bila wewe. Ni wewe tu ambaye anaweza kufikia pesa zako.

Hivyo fungua programu(App) ya Humaniq kwenye simu nyingine. Ili kuweka fedha yako salama kwako, App inachunguza utambulisho wako. Unachukua picha ya uso wako, na kuweka neno lako la siri. Na kisha uko tayari!

Katika simu mpya unaweza kuanza kutumia mkoba wako wa Humaniq tena! Humaniq App ni njia salama ya kuweka fedha na kulipa.